INJINI YA NDEGE YA ZIMA,7 WANUSURIKA KIFO.

Ndege ndogo ya shirika la tanzaniair iliyo kuwa ikitoka mjini BUKOBA mkoani KAGERA kwenda DAR ES SALAAM imelazimika kutua kwa dharula katika ziwa MANYARA baada yza injini yake moja kuzima ghafla ikiwa angani,Ndege hiyo ilikuwa na abiria 6 na rubani mmoja ambao wote wamejeruhiwa na kukimbizwa katika hospitali ya  SELIANI mjini ARUSHA kwa matibabu.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment