HALI YA CHAKULA YA ZUNGUMZIWA AFRICA.

www.jichopumbuzi@gmail.com
WAKULIMA  wa kiafrika wanalalamika mvua za siku izi hazitabiliki na mabadiliko ya hali ya hewa yanasababisha kuwepo magonjwa ya mazao.

www.jichopembuzi@gmail.com
wataalamu wa kiafrika ,wakulima na wadau wamekamilisha siku mbili za majadiliano kuhusu njia za kulisha idadi ya watu wanaoongezeka katika bara hilo na kupambana na mabadiliko ya hali ya hewa 

kwa mujibu wa programu ya mazingira ya umoja wa mataifa VNEP;waafrika milioni mia mbili wanalala njaa hiyo ni asilimia 23 ya watu .takwimu za mwaka huu kuhusu usalama wa chakula zinaonesha nchi kati ya 10 zenye usalama mbaya sana wa chakula zipo zipo barani afrika.


mratibu wa umoja wa mataifa katika mabadiliko ya hali ya hewa AFRIKA, RICHARD MNANGI anasema kuna haja ya kuongeza uzalishaji wa chakula ilikulisha watu bila kuwepo shinikizo juu ya mfumo wa Ekolojia katika bara hilo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment