kwa mujibu wa mtaalamu wa Geologia ameweza kubanaisha
aina za madini zilizopo tanzania na hata nchi zingine pia wanayo madini hayo nchi hizo ni Afrika ya kusini,Ujerumani ,brazil,Australia nk.madini hayo ni Copper,Silver,Ureneum,Platnaum,Plotane,Cotane,Vito,Lubi,Lodoup,Led ganet,Belili,Zahabu,magnasite,Box tise,Glafate nk. sasa tunakwenda kuangalia aina za madini yenye miaka kati ya milioni moja mpaka milioni sita, tunapo zumgumzia umri wa miaka ni hile miamba inayo beba aina za madini kwenye yale tulio weza kuyaolodhesha hapo, kwa mfano hapa tanzania miamba yenye umri huo upatikana Bukoba madini ya mchanga mweupe kabisa hivyo kuna copper,silver,ureneum lakini tukiangalia madini aina ya platnaum hapa tanzania yana patikana kigoma katika miamba yenye umri huo.
hata hivyo kuna miamba yenye umri wa miaka kati ya 950 mpaka 550 hivyo hapo unaweza kupata chuma kama vile sehemu ya liganga
madini aina ya vito yanaweza kupatikana Afrika mashariki lakini kwa tanzania tuna rongido,roliondo,singida,andeni,morogoro,mahenge,masasi,songea pamoja na sumbawanga mfano nchi zinazo pambana na sisi katika madini ayo ni Sililanka,madagaska na familia ya kwanza kwenye vito ni lubi,lodoup,ledganet,belili.
hili kugundua umri wa miamba ni kutumia vyombo vya kitaalamu katika maabara za utafiti wa miamba yenye madini hivyo kwa maabara ya utafiti ipo Afrika ya kusini tu katika bara la afrika lakini kwa ujerumani aina maabara zaidi ya 3 hivyo kuiendesha mitambo hiyo ni dola zaidi ya milioni1000 kwa siku.
Home / Uncategories / ZIJUE AINA ZA MADINI YENYE MIAKA KATI YA MILIONI MOJA MPAKA SITA HAPA TANZANIA.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment