ZIJUE AINA ZA MADINI ZENYE UMRI WA MIAKA MILIONI 1 MPAKA 6 HAPA TANZANIA.

mtaalamu wa giologia ameweza kubanaisha aina za madini yanayo weza kupatikana tanzania na nchi nyingine kama vile Afrika ya kusini,ujerumani, brazil Australia msumbuji nk.aina hizo za madini ni siver, copper,ureneum,platnaum,plotane,cotane,vito,lubi,ladganet,belili,zahabu,box tise,glafate.

hivyo tunapo zungumzia umri ni miamba ambayo inakuwa imebeba madini hayo yanayo patikana hapa tanzania sehemu tofauti tofauti kwa mfano bukoba madini ya mchanga mweupe kuna coper,ureneum lakini madini ya platnaum yanapatikana kigoma.

miamba yenye umri wa miaka 950 mpaka 550 upatikana madini aina ya chuma ususani katika sehemu ya liganga.Vito inapatikana afrika mashariki hivyo kwa tanzania inapatikana rongido, roliondo, singida,andeni,morogoro,mahenge,masasi,songea pamoja na sumbawanga nchi tunazo shindana nazo ni sililanka,madagaska.

hili kugundua umri wa miamba ni kutumia vyombo vya kitaalamu hivyo kwa afrika tuna maabara moja tu hiliko afrika ya kusinikatika bara la ulaya ujerumani ndio ina maabara zisizo zidi 3 tuna kuziendesha kwake kila mtambo una kula dola zaidi ya 1000 kwa siku.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment