AJALI MBAYA YAENDELEA KUIKUMBA JIJI LA MBEYA.

Ajali mbaya ya gari kupinduka iliyotokea uko katika kijiji cha MAPOGOLO wilayani CHUNYA mkoani MBEYA imesababisha kifo cha mtu mmja kufaliki papo hapo huku chanzo chanzo cha ajali kikichunguzwa.

Kwamujibu wa taarifa za maafisa polisi zinasema mnamo tarehe 4/9/2013 majira ya saa 17:00 kulitokea ajali iliyo usisha gari lenye namba za usajili T.198 AGT aina ya FUSO lililokuwa likiendeshwa na dereva FRANSIS MAHENGE mwenye umri wa miaka 31 MKINGA mkazi wa kijiji cha KIBAONI katika ajali hiyo mtu mmoja kafariki dunia aitwaye JOSHUA MSUKULA mkazi wa SINJILILI huku majeruhi wakiwa ni watu watatu 3 ambao ni TUMAINI MAIKAMBO,JOSHUA SHERIA,ELIZA BONIFASI.

Kutoka chanzo cha maafisa polisi wamedai kuwa majeruhi wote wamelazwa Hospitali ya wilaya ya CHUNYA.

sambamba na hilo ajali ya gari kumgonga mpanda baskeli na kumsababishia kifo chake pale pale huku chanzo cha ajali kikichunguzwa

Kwa taarifa kutoka kwa maafisa polisi zinasema gari lenye namba za usajili T993 AUL aina ya SCANIA likiendeshwa




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment