HUU NI MTAA WA MLOWO UNAOSIFIKA KWA BIASHARA LAKINI UMEKUBWA NA UGONJWA UTALI WA UKIMWI.

Huu ni mtaa wa MTAKUJA uliopo MLOWO hapa mkoani MBEYA  unaosifika kwa biashara mbalimbali zikiwemo vyakula, nguo,huuzaji wa ngono,vilabu vya pombe,na vitu vingine vingi lakini katika mtaa huu kuna soko moja liitwalo sokomjinga maarufu kwa huuzaji wa mbogamboga na bidhaa nyingine za kinyumbani hata hivyo tulifuatilia asili ya watu wa hapa tukakuta ni mchanyiko wa makabila mbalimbali tanzania.

katika utafiti wa jichopembuzi kwa kuzungukia baadhi ya mitaa tulibaini uchafu wa maeneo hivyo kuwa na magonjwa mbalimbali ya kuambukiza,wasichana wengi ushika mimba zisizo kuwa za lazima.

www.jichopembuzi@gmail.com
lakini huduma za kijamii upatika kwa ulaisi kama vile maabara za upimaji lakini wengi wao awana uwelewa juu ya huduma hiyo kuna dispensary za watu binafsi na maduka ya madawa ya kutosha.

hivyo maambukizi ya ukimwi yamekuwa yakisumbua mtaa huu wa MTAKUJA kwa sasa watoto wadogo nina maana mabinti wengi wameasilika kwa ugonjwa huu wa ukimwi na magonjwa ya zinaa kama vile KISONONO,KASWENDE,FANGASI NA UTI (URINE TRACTIVE INFECTION).imekuwa ni kero katika jamii hiyo kwa sasa.




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment