MGOGORO WA ARDHI YA MADINI CHUNYA WAENDEREA KUFULUKUTA.

Wananchi wa kijiji cha ITUMBI B wilayani CHUNYA mkoani MBEYA wameishutumu serikali kwakuuza maeneo wanayo ishi kwa wachimbaji wadogo wa dhaabu bila kutoa taarifa kwa wanchi hao.

Hayo yamesemwa na wana kijiji hao ambao awakuitaka kutajwa majina yao kuwa wamekuwa wakishangaa viongozi mbalimbali wakiingia kwenye maeneo hayo bila kupata taarifa zozote.

kwa upande wa mbunge wa jimbo la RUPA VICTORIA MWAMBALASWA amesema hajui kama hawakupewa taarifa kuhusu kuuzwa kwa maeneo hayo na hivyo akasema ni vema akaelezea suala hilo.

naye mkuu wa wilaya hiyo ya chunya kinawipo amesema viongozi wa kijiji walisha pata taarifa za kuuzwa kwa maeneo hayo iliyatumike na wachimbaji wa dhahabu.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment