DAWA ZINAWEZA KUSABABISHA VIDONDA VYA TUMBO.

Dalili za vidonda vya tumbo.
dalili zipo nyingi lakini kubwa ni kusikia maumivu kwenye mvuko wachakula na kusambaa hadi juu ya kitovu 
pia kama ni vidonda vya tumbo vilivyo sababishwa na utumiaji mbaya wa dawa,mgonjwa ujisikia maumivu makali wakati ana njaa pia akinywa dawa kama Aspirine.

mara nyingi maumivu hayo uwa yanahamahama hadi mgongoni na kwenye mabega na dalili nyingine ni mgonjwa kutapika,kualisha damu na kukonda.

Tiba na ushauri.
mgonjwa anatakiwa akiona dalili hizo tulizo zitaja aende hospitali kupimwa na kutibiwa.lakini ushauri ni ukosefu wa usingizi ni maradhi makubwa katika dhama zetu hizi.kwahiyo kulala ni moja ya tiba ya mwili usingizi husaga  chakula na kuondoa uvimbe katika tumbo


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment