MAGONJWA YANAYOTOA USAHA,MAJIMAJI SEHEMU ZA SIRI.

Kuna magonjwa mengi ambayo watu ukumbana nayo lakini leo tutazungumzia magonjwa ambayo utoa majimaji au usaha sehemu za siri na huweza kusababisha mwathirika kukosa mtoto

Magnjwa hayo ni yale ya ngono ambayo uweza kuwapata watu wa rika na njinsia zote,hususani walio kati ya umri wa miaka 15 hadi 49.

Vijana wenye umri kati ya miaka 10 hadi 24 wako katika hatari zaidi ya maambukizi ya magonjwa hayo ya ngono kwa kuwa wanapo balehe ,upata hisia au hamu ya kujamiana

Hli hii usababishwa na vichocheo au homoni zilizomo mwilini ambazo usababishwa hisia za kufanya ngono

Makundi ya magonjwa ya ngono.
kuna aina mbalimbali ya magonjwa ya ngono ambayo yamegawanywa katika makundi kufuatana na dalili zake.
kundi la kwanza.
kundi hili ni magonjwa yenye dalili ya kutokwa usaha au majimaji sehemu za siri(ukeni na uumeni)ambayo ni kisonono,trichomonas na cadinda.

kundi la pili 
pia kuna kundi la pili ambalo ni la magonjwa ya ngono ambayo dalili zake ni kutokwa na vidonda ,ambayo ni kaswende na malengelenge sehemu za siri.

malengelenge
kundi la tatu
kundi la tatu ni magonjwa yenye dalili ya kutokwa na uvimbe ambayo ni mitoki na pangusa sehemu za siri   
Napenda ieleweke  kwamba mtu anaweza akawa na ugonjwa zaidi ya mmoja wa ngono kwa wakati mmoja kujitokeza kwa dalili za ugonjwa wa ngono hutegemea aina hiyo ni kwa wanawake au watu wa jinsia ya kike kwani asilimia 60 mpaka 70ya wanawake wenye kisonono hawaonyeszhi dalili yoyote hile wakati wanaume ni kati ya asilimia 10 na 15





Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment