Mtoto wa kiume wa Dikteta wa Libya aliye uwawa Moamer Gaddafi Alhamisi (19.09.2013)amefikishwa mahakamani katika mji wa Zintan kwa mashtaka ya kuvuluga usalama na kesi yake imeailishwa hadi tarehe 12 mwezi wa disemba.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment