UCHAGUZI 2013 NCHINI UJERUMANI UTAKAO FANYIKA 22

Wahariri wa magazeti nchini Ujerumani wamezungumzia juu ya uchaguzi wa ujerumani lakini pia masuala ya mzozo wa siraha za kemikali nchini syria na kuhusu muhungano wa miaka 40 ya ujerumani.

Wasifu wa Kansela Angela Merkel                                              Wasifu wa Peer Steinbruck,mpinzani

Bi Kansela Angela Merkel wa CDU ni                                         Peer Steinbruck wa SPD anatambulika ni
                                                                                                    mtu wa busara mzungumzaji mzuri,
kutokuwa kwake mtu wa papara katika                                        mtaalamu wa fedha
kutoa maamuzi.                                                                             yeye anaamini atashinda.


Mhariri wa gazeti la Volksstimme la mjini Mag-denbug anazungumzia kuwa kwa muda mrefu kampeni za uchaguzi nchini ujerumani zimekuwa azina msisimko. mhariri ana eleza
sasa kampeni hizo ziko katika hali ya kusinzia

Siraha za sumu
      kuhusu mzozo wa siraha za sumu nchini syria gazeti la Stuttgarter Nachrichten linaandika
Katika harakati kubwa tangu kuanguka kwa mataifa  ya mkataba wa Warsaw,Rais Putin  wa Urusi anataka kuonyesha  mataifa ya magharibi mambo mawili kwanza:kuwa majeshi yake yanaweza kutunisha misuli tena,kitu ambacho kiongozi uyo wa taifa anakitamani sana.

 





Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment