WAFANYABIASHARA WA MADHAO NA VYAKULA WA JIJI LA MBEYA WAGOMO NA KUFANYA MAANDAMANO MPAKA OFISI ZA MKUU WA MKOA WA MBEYA.

WAFANYABIASHARA wote wa jiji la Mbeya awakubaliani na ushuru uliopandishwa kutoka Almashauri ya wilaya ya Rungwe kwa asilimia 100 katika mazao ya ndizi,viazi nyanya na mazao mengine katika usafilishwaji wa mazao hayo.

Katibu msaidizi wa chama cha wafanyabiashara mkoa wa Mbeya aitwaye Alanusi Ngogo amesema ushuru wa mazao umeongezwa kwa asilimia 100 katika ushuru wa mkungu wa ndizi kutoka kwenye 200 hadi kufikia 600

Hata hivyo katika geti lijulikanalo kama namba 1 utoza ushuru kwa magari kwa mfano kenta tani 2 ushuru wa zamani ulikuwa Tsh 15000 lakini kwa sasa ni Tsh 3000,tani 3 hilikuwa Tsh 22500 lakini kwa sasa ni Tsh 45000 katika gari la Fuso lenye tani 5 lilikuwa likitozwa kiasi cha Tsh 30000 lakini kwa ni Tsh 60000.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment