BREAKING NEWS ;MELI IMEZAMA KATIKA ZIWA VICTORIA HIVI PUNDE.

Meli ya mizigo ya kampuni ya FB matara iliyokuwa inatoka bukoba kwenda mwanza ikiwa na wafanyakazi kumi na shehena ya sukari imezama ziwa victoria visiwa vya kerebe na bumbile.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment