wanamgambo wa boko haram. |
Uchunguzi wa JICHOPEMBUZI wabaini kuwa raia wa mpakani nchini nigeria wana shirikaana na boko haram nchini Nigeria kujipatia pesa.
nchi zilizo jirani na nigeria ;kama Niger,Cameroon,na Chad zinahofia kuwa harakati za wanamgambo hao zitaathiri usalama wa nchi hizo.
0 maoni:
Post a Comment