hii ni kutokana na mtindo ambao unaonekana na wengi nchini humo kwamba mwanamke mwenye makalio makubwa ndiye anaye endeza zaidi
Daktari aliye piga picha moja kati ya makalio yalio athiliwa na silicon |
Miaka 18-50
Hata hivyo wanawake wengi wanaoendelea kjiongezea makalio takribani asilimia 30 ya wanawake walio
kati ya umri wa miaka 18 na 50 wanatumia silicon kuongeza ukubwa wa makalio yao.
madatkari wakifanya oparesheni juu ya mwanamke aliye asiliwa na silinco |
Madaktari wanasema kuwa kemikali hii husambaa mwilini na pia inaweza kuathili kinga ya mwili.
0 maoni:
Post a Comment