Lader levison amepoteza vita vyake vya hivi punde dhidi ya FBI.
Mwanzilishi wa mfumo wa huduma za barua pepe wa,Lavabit ambao
ulitumiwa na Edward Snodeni,alikuwa akipinga uamuzi uliosema kuwa
alikataa kutoa funguo za mfumo huo katika ukurasa wake
Levison aliiambia makala ya JICHOPEMBUZI mapema mwaka huu kuwa kutoa funguo hizo ni sawa na kuruhusu serikali ya marekani kuingia katika mtandao wa lavabits unaohifadhi data za watumizi laki nne.
Tovuti ya Heart bleed inaendelea kuleta matatizo katika mfumo mzima wa tovuti
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment