MABADILIKO DAR;UELEKEO WA BARABARA ZA TRAFFIC CIRCULATION AT CBD.

Mabadiliko ya uelekeo wa barabara katikati ya jiji la dar ws salaam,Tanzania kuanzia siku ya tarehe 28/04/2014 traffic circulation at CBD.


kipande cha mtaa wa samora kuanzia mnara wa Askari(Askari monument)hadi clock tower magari kutakuwa na mabadiliko ambapo magari yatakuwa yanaelekea clock tower badala ya askari monument.

Barabara ya sokoine kuanzia station hadi makutano ya mtaa wa maktaba posta ya zamani magari yatakuwa yanaelekea  uelekeo mmoja wa station posta ya zamani tofauti na ilivyo sasa posta ya zamani kwenda station.

barabara ya kivukoni kuanzia posta ya zamani hadi ferry itakuwa barabara ya mielekeo miwili (two way).

Barabara ya samora kuanzia mnara wa Askari hadi Ocen Road Hospitali itakuwa barabara ya mielekeo miwili

Daladala zote zitakazotokea barabara za makataba zitakunja kulia pembeni ya jengo la NBC na hadi makutano ya mkwepu na kukunja kushito kuingia sokoine pale posta ya zamani na baadaye kukunja kushoto kuingia makataba na kurudi posta mpya.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment