Aliye kuwa naibu mkurugenzi mkuu wa shirika la umeme Tanzania (Tanesco),Robert Semtutu na wenzake wanne wamefikishwa katika mahakama ya hakimu mkazi kisutu,jijini dar es salaam akikabiliwa na mashtaka mawili ikiwemo kuisababisha serikali hasara ya zaidi ya sh.milioni200
washtakiwa wengine ni ,aliyekuwa Afisa ugavi wa Tanesco Hanin Mahambo mkurugenzi wa fedha Lusekeo kasanga mwanasheria Godson Ezekiel pamoja na mkandarasi Martin Abraham.
Mwendesha mashtaka wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) Isidori Kyando adai kuwa washtakiwa walifanya makosa hayo katika tarehe tofauti mwaka 2011
0 maoni:
Post a Comment