Mjumbe wa bunge la katiba zitto kabwe amesema kuandikwa kwa katiba isiyokubaliwa na pande zote kutasababisha gharama kubwa kuliko zile zilizo tajwa za serikali tatu.
Akichangia hoja kwenye bunge hilo jana ,zitto alisema kuna kila sababu ya kukaa na kukubaliana ilikupata katiba itakaitakayokubalika pande zote.
Muundo wa muungano una hatari ya kuvunjika iwapo hakuna matakwa ya dhati ya watu kuungana.
0 maoni:
Post a Comment