MAOMBI YA ARSENE WENGER YAJIBIWA.

man city 2-2 sundarland
Maombi ya kocha ,wa Arsenel wenger ya kutaka Everton ishindwe ilikuisaidia timu yake kufuzu kwa kombe la mabingwa msimu ujao yalitimia hapo jana ,crystal palace ilipo ilaza Everton mabao 3-2 na

kuiruhusu Asernal kusalia katika nafasi ya nne ikiwa na alama 67 alama moja zaidi ya Everton.

Wenger ambaye ameshuhudia timu yake ikidorora kutoka nafasi ya kwanza mwezi januari hadi ya tano mapema juma hili amesema hilo ndio ombi lake kuu ya kuhakikisha Asernal inamaliza katika nafasi ya nne bora na kufuzu kwa ligi ya mabingwa barani ulaya msimu ujao.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment