Idara ya polisi mjini new york MAREKANI ,imefunga kitengo chake maalumu cha kuwapeleleza waislamu ilikuchunguza kama kunatishio lolote la ugaidi.
Vyombo vya habari nchini marekani vinasema kuwa kitengo hicho kiliwahi kushitakiwa mara mbili kwa mbinu zao ujasusi na pia kulaniwa na makundi ya wanaharakati wa haki za binadamu.
pia kiliwaghadhabisha waislamu hasa kwa kuwachunguza.
0 maoni:
Post a Comment