Operesheni ya uokozi inaendelea baada ya meli moja iliyobeba abilia 460 katika pwani ya korea kusini kuzama watu 2 wamelipotiwa kufariki.
maafisa wanasema kuwa walinzi wanatumia,meli za wana maji wa korea pamoja na ndege za uokoaji kuwaokoa watu walio katika meli hiyo.
shughuli zinaendelea hivi sasa kuokoa zaidi ya abiria 460 wa ferry hiyo.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment