OPRESHENI DHIDI YA UGAIDI YAANZA UKRAINE.

Rais wa serikali ya ukrane amesema jeshi limekomboa uwanja wa ndege ulioko kramatosk mashariki mwa nchi hiyo.

Rais huyo ameliambia bunge la taifa huko kiev kuwa operesheni hiyo maalumu inafanywa hatua kwa hatua.

 

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment