WATU 4 WAUAWA KATIKA MLIPUKO NAIROBI.

Watu wanne,wakiwemo maafisa wawili wa polisi waliuawa usiku wa kuamkia leo mjini Nairobi baada ya gari waliokuwa wamelizuia kwa ukaguzi kulipuka.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment