BREAKING NEWS;LIVE MUDA HUU,WAANDISHI WA HABARI WA JIJI WAHAMASIKA KUKARABATI KIPANDE CHA BARABARA BLOCK T.

muonekano wa barabara ilivyo kuwa mwanzo.

Wakati kazi ikiendelea baada ya Halmashauri ya jiji la mbeya kuingia mtini,tukio hili kuripotiwa muda mchache kupitia mtandao huu wa JICHOPEMBUZI na BOMBA FM RADIO  huku waandishi hao wakiendelea kujenga taifa.


Ndipo ghafla waandishi wa Halmashauri ya Jiji la Mbeya walipo weza kufika na kuwashangaa wenzao wakiendelea kupiga kazi baada ya kuona aibu waliamua kuahidi kuleta kifusi kwa ajili ya matengenezo ya barabara hiyo.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment