Waziri wa mashauri ya kigeni wa Marekani amelaumu urusi kwa kuchochea mapigano mashariki mwa Ukraine.
John Kerry alisema ujasusi wa Marekani unahakika kuwa urusi imetoa silaha na wapiganaji na pia inaendelea kugharamia na kusimamia wapiganaji wa nchini Ukraine kushiriki ghasia hizo.
Katika lugha ya hasira,Bwana kerry alishambulia Urusi akisema kuwa taifa hilo limeshindwa kuchukua hatua madhubuti za kujaribu kutuliza uhasama ulioko nchini Ukraine kama ilivyo kubaliwa mjini Geneva juma lililopita.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment