Malaria ni ugonjwa hatari sana katika uchunguzi wa JICHOPEMBUZI umebaini kuwa kuna matatizo katika upimaji wa malaria kwenye maabara usika .
maabara nyingi nchini tanzania azipo katika ubora unao lizisha kwa maana mgonjwa uta mwona ana dalili zote za malaria lakini kipimo kinakuambia ana,ivyo selikali inatakiwa kutazama upya vipimo vya malaria vinavyo pimwa alaka na badala yake watumie darubini kwa uakika zaidi.
serikali inatakiwa kupitia maabara zote zilizo chini ya kiwango,kwa kutokuwa na vifaa vyenye ubora.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment