Jana February 14 ilikua ni siku ya Wapendanao ambapo mastaa mbalimbali kutoka Tanzania na nje ya Tanzania walionyesha kutambua uwepo wa siku hii na kupost picha mbalimbali kwenye mitandao yao ya kijamii.
Ni Young Killer, Zari the Boss lady, Jux, Aunt ezekiel, Profesa Jay, Kim kardashian na wengine kama inavyoonekana hapa chini.
Mkali wa bongofleva Young Killer
Mchekeshaji wa Kenya Erick Omondi
Mwimbaji staa wa bongofleva Jux
Mwigizaji wa Tanzania Aunty Ezekiel
Mkongwe wa Hiphop Tanzania Profesa Jay
Zari the Boss Lady wa Diamond Platnumz
Mshindi wa BBA Africa Idris Sultan
Mwimbaji staa J.Lo
TV Star Kim K
Staa wa hiphop Tanzania Joh Makini
Mkali mwingine wa bongofleva Young D
from Blogger http://ift.tt/2kJ7jeR
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment