Baada ya taarifa za awali za watu 13 kuokolewa wakiwa wamejeruhiwa baada ya kufukiwa ndani ya mgodi Butiama mkoani Mara.
Taarifa nyingine kutokea Butiama ni kuwa zoezi la uokoaji limesimama kwa muda kutokana na maji kujaa ndani ya mgodi na juhudi zinafanyika kutoa maji ili zoezi la ukoaji liendelee. Jana miili ya watu wawili ilipatikana na kwa mujibu wa Mkuu wa wilaya ya Butiama Annarose Nyamubi bado watu wanne hawajaokolewa.
from Blogger http://ift.tt/2l7BAor
via IFTTT
0 maoni:
Post a Comment