JICHOPEMBUZI
: MTANZANIA ACHINJWA NCHINI KENYA KESHO ARUSHA: Mkazi wa Mtaa wa Engurumaus kata ya Moshono jijini Arusha Siryakwi Maleko 78 amechinjwa huko Mombasa nchini Kenya katika tukio lililowahusisha watu 4
mtanzania huyo atakaye zikwa jumatatu katika kata ya moshono alikwenda mombasa kumsabahi binti yake ambapo katika tukio hilo Al shabab wamemchinja mkwe wake walipokuwa shambani wakilinda wanyama wahalibifu....
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment