VIKOSI VYA IRAQ VYASHINDWA KUTEKA TIQRIT.

Ripoti kutoka iraq zina harifu kuwa vikosi vya serikali vilivyo jaribu kuuteka mji wa tikrit kutoka kwa wapiganaji wa kisunni vimelazimika kulejea nyuma.

Walioshudia wanasema wanajeshi hao walilazimika kuludi katika mji wa Dijla,yapata kilometa 25 kusini baada ya mashambulizi yao yaliyoshirikisha mizinga,magari ya kujiami na ndege kushindwa kufua dafu.

Hata hivyo kunaripoti ya majeruhi kutoka pande zote mbili

mwanajeshi wa ISIS
Duru zmealifu kuwa kuna vikosi vya bserikali vina jitaidi kufika Tikrit kwa kuwa wapiganaji wa ISIS wametega vilipuzi vingi katika barabara kuu ya kuingia mjini humo

wakati huohuo Iraq inasema imepokea kundi la kwanza la ndege za kijeshi ilizoagiza kutoka Urusi ili kusaidia kukabiliana na wapiganaji wa Dhehebu la Kisunni.


Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment