WATU MILIONI 7 HUFA KWA HEWA KILA MWAKA.

Kikao cha kwanza cha baraza la mazingira la umoja wa mataifa (UNEA),kimeitimishwa mjini Nairobi,Kenya kwa wito wa kutaka hatua za makusudi zichukuliwe hili kuboresha usafi wa hewa na kudhuia vifo milioni 7 vya mapema ambavyo utokana na hewa chafu.

kikao hicho cha siku tano kiliitimishwa ijumaa (27.06.2014) kwa kupitia mazimio 16  yanayo imiza hatua za kimataifa katika kukabiliana vna masuala kadhaa yanayo husu mazingira,ykiwemo yanayo usiana na biashara haramu ya viumbe wa polini,usafi wa hewa ,taka za plastiki katika bahari,kemikali za sumu na taka kwa ujumla.

Akizungumza wakati wa kufungua kikao hicho katibu mkuu wa umoja wa mataifa Ban ki - moon alisema hewa tunayo pumua ,maji tunayo kunywa na udongo tunaozalishia chakula ni sehemu ya bayo anuai ambayo inaendelea kukabiliwa na shinikizo kubwa.Baraza hilo litambulisha uchafuzi wa hewa ni tatizo ambalo lina paswa kupewa kipa umbele na jamii ya kimataifa hili kuepusha vifo milioni 7 kila mwaka kwa mujibu wa takrimu za shirika la Afya duniani WHO.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment