Mubalaki bala alifungwa huko kona kaskazini mwa Nigeria baada ya kuuasi uislamu na kujitangaza mtu asiye amini Mungu.
Mwanamume mmoja aliye zuiwa katika taasisi ya wagonjwa wa akili kwa kuto amini Mungu ameachiliwa huru.Mubalak Bala alifungwa kutokana na mzozo huko kono kaskazini mwa Nigeria baada ya Ripoti kwamba ameuasi uislamu na kujitangaza kuwa ni mtu asiye amini Mungu.
alifungwa kwa siku kumi nane katika taasisi hiyo ya watu wenye ugonjwa wa akili katika jimbo la kano baada ya jamaa zake kumpeleka huko kwa lazima
Aliuasi Uislamu na kujitangaza mtu asiye amini kwamba kuna Mungu
Mubarak bala ameeleza kwamba baba yake alikuwa ni kiongozi wa dini ya kiislamu ambaye angekubali kuwa na familia ya waamini wasio waislamu
kunataarifa kwamba aliachiliwa kutoka kituo cha Afya ,kutokana na mgomo wa kitaifa wa madaktari .lakini inaonekana matatizo yanayo mkumba Mubara
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment