Ndoa ya Dida aipo tena baada ya dida kumfumania mumewe na dogodogo,chanzo hicho kimedai kuwa Dida alimfumania mume wake ambae ni mtangazaji Ezden jumanne na ndoa imevunjika Rasmi na Edzen Jumanne amepokonywa vitu vyote vya samani alivyo kuwa amepewa na Dida kama gari,simu na nk
"we yaani ulitokea ugonvi mkubwa balaa yaani nusu afe mtu"mbona kitaa kilikuwa kazi !kipindikile alifunga kwa kigodoro sasa safari ilifunga kwa fumanizi "chanzo hicho kilisema hii ni ndoa ya tatu kwa mwana dada uyo kuna siku alisha wai kuzungumza na hii ikivunjika hata kaa aolewe tena.kavunja ndoa 3 inayo mfanya awe na rekodi ya aina yake hapa mjini na umri alionao ni idadi ya ndoa alizo pitia.
Home / Uncategories / MTANGAZAJI KIWANGO WA KITUO CHA RADIO TIMES FM CHA JIJINI DAR,KHADIJA SHAIBU "DIDA"AFUNGA MTAA KWA FUMANIZI
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment