Nyota wa timu ya soka ya Brazil Neymar atoshiriki tena katika michuano ya kombe la Dunia baada ya kupata jeraha .
mfupa wake unaoshikana na uti wa mgongo ulivunjika katika mechi ya ushindi wa mabao mawili dhidi ya colombia
Neymar aligongwa upande wake wa nyuma dakika tano tu kabla ya mchuano huo wa robo fainali kukamilika.
Alibebwa kutolewa nje akiwa katika machela lakini ametolewa hospitalini baada ya kufanyiwa matibabu
Brazil itaendelea kushiriki kwenye michuano hiyo bila naodha wake Thiago Silva katika mchuano wa nusu fainali dhidi ya Ujerumani baada ya mchezaji huyo kupewa kadi ya pili ya njano
Kabla ya habari hizo za Neymar kutolewa raia wa Brazil wafulika katika barabara za Taifa hilo kushelekea ushindi wa timu yaho.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment