Ni katika mwezi wa machi tu ambapo Rais wa china Xi Jinping alifanya ziara nchini ujerumani,na mapema mwaka huu waziri wa mambo ya nje ya ujerumani Frank -Walter Steinmeier alikuwapo china kwa ajili ya dhiara ,na katika msimu wa mapukutiko wa baraza lote la mawaziri la china litakuwapo nchini Ujerumani kwa ajili ya mashauriano ya kiserikali.licha ya atua hizo zote ziara ya kansela wa ujerumani inafuatia
Kansela Merkel akitembelea kituo cha reli cha maglev kilichojengwa na wa jerumani mjini Shanghai |
katika ziara hiyo mikataba kadhaa itatiliwa saini baina ya Ujerumani na china juu ya mambo ya tekinologia,Elimu na utamaduni.kansela merkel ataianzia ziara ya siku tatu katika jimbo la Sichuan la magharibi kusini mwa China jimbo hilo lina idadi sawa na wakazi wa Ujerumani.
0 maoni:
Post a Comment