Baada ya kuendesha Beef kwa Muda wa miaka mitano dhidi ya kituo cha Radio cha Clouds Fm hatimaye waliokuwa wakiongoza kundi hilo la wasanii wanajiita Vinega wa Ant Virus "mapacha"jana tarehe 23 mwezi wa sita 2014 wameandika historia kwa kuweka mapanga chini na kutambulisha wimbo wao walioupa jina la Its time for the money (muda wa kuytengeneza pesa na sio Beef).
Wasanii hao ni ndugu walio zaliwa mapacha na huwa wanafanya muziki wao kwa pamoja ndani yake kuna "k-wa mapacha "D -wa mapacha.
mapacha walipata Exclusive Interview ndani ya kipindi cha xxl na watangazaji wa kipindi hicho (B-12,Adamu Mchomvu na Dj fetty) walipo jalibu kuwauliza kwanini walitunga mixtape mbili kuwa diss watangazaji wa clouds fm na kwanini walikuwa wanawapa vitisho vya kuwadhuru mtaani?mapacha walikili kuwa mwanzo walikosea na lenye mwanzo alikosi kuwa na mwisho ndio sababu wakaamua kuomba suluhu.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment