MWANAMKE MSUDAN ALIYEHUKUMIWA KIFO NA VIBOKO 100 KWA KOSA LA KUOLEWA NA MKRISTO AACHILIWA HURU NA MAHAKAMA.

Mahakama nchini Sudan imemuachilia huru mwanamke aliyehukumiwa kifo mwezi uliopita kwa kuasi imani yake ya kiislamu kesi ya meriam Ibrahim.

Ilisababisha shutuma nyingi kimataifa Alihukumiwa pia mikwaju mia moja kwa kile mahakama ilitaja kuwa ni uzinzi kwa kuolewa na mkristo.Alijifungua mtoto wa kike akiwa gerezani.
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment