Neymar alifunga mara mbili katika mechi aliyekuwa mchezaji bora wakati Brazil ilipo ishinda nguvu Cameroon na kufuzu katika raundi ya muondoano.
Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 22 alifunga mabao 2 katika kipindi cha kwanza baada ya kusawazisha lake joel matip huku fred na Fernandinho wakihakikishia timu hiyo nafasi katika mkondo wa pili wa timu16 bora kama washindi wa kundi A.
Brazil ilitamatisha mechi za kundi kwa kishindo iliilaza Cameroon 4-1 |
0 maoni:
Post a Comment