Kocha wa Uholanzi louis van Gaal amelishutumu shirikisho la soka duniani FIFA kwa "kufanya hila" kwa njinsi linavyo panga Ratiba ya michuano ya kombe la dunia.
Wenyeji Brazil walicheza mechi mbili kabla ya Uholanzi kucheza lakini watacheza tena baada yake katika mechi ya mwisho ya makundi jambo ambalo Van Gaal anadai sio la haki.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment