Mshambuliaji wa timu ya Uruguay luis suarez amempoteza mmoja wa wadhamini wake baada ya marufuku kwa kumng'ata mchezaji wa italy Giorgio chielllini
kampuni ya kamali ya mtandaoni 888 poker imesema "ameamua kusitisha mkataba wake na mchezaji huyo mara moja
"kila mtu anajua kilocho mfanya luis"
walitaka aondolewe katika michuano ya kombe la Dunia na kweli wamefanikiwa.
"walimwondoa katika mechi hizo kama mbwa"alisema lila paris da rosa bibiye suarez
Mchezaji uyo wa miaka 27 aliye chezea kilabu ya liverpool alipigwa marufuku ya miezi 4 na shirikisho la dunia FIFA baada ya kupatikana na hatia.
Suarez awezi kucheza kilabu yoyote hama taifa lake mpaka mwezi octoba.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment