UKRAINE,GEORGIA NA MOLDOVA WATIA SIHIHI.

Ukraine,Georgia na Moldova zimetia sahihi mikataba ya ushirikiano wa muungano wa ulaya,suala ambalo Urusi inapinga vikali.

makubaliano hayo ambayo yataunganisha pamoja mataifa hayo na kuyaegemeza magharibi kiuchumi na kisiasa,hasa ndio msingi wa mgogoro ulioko Ukraine.

Urusi imesema hata ingawa kutia saini mkataba huo ni haki ya taifa lolote,kunaweza kuleta madhara mabaya baadaye

usitishaji wa vita kati ya vikosi vya serikali na waasi wanaounga mkono Urusi,mashariki mwa Ukraine unakamilika Ijumaa hii.

Rais wa Ukraine,Petro Poroshenko aliusifu mkataba huo akisema ni siku ya kihistoria katika taifa la Ukraine baada ya siku ya uhuru wa taifa hilo mweaka 1991.Ameutaja kuwa dalili ya imani na nia isiyo weza kuvunjwa.

poroshenko pia amesema kuwa ameuona mkataba kama mwanzo wa mchakato wa kujiunga na umoja wa bara Uropa, "Ukraine inathibitisha chaguo lake la kitaifa,kujiunga na EU" alisema

kwengineko,Rais wa bara la Uropa Herman Va Rompuy  ametaja kuwa " sikuku kwa bara la uropa".




Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment