Chama cha wafanyakazi nchini Tanzania kimekuja na sera mpya kwa wafanyakazi kulipwa mishahara minono kutoka kwa waajiri wao,sababu ikiwa ni kuto pata maslahi sahihi kutoka kwa waajili wao na kupelekea maisha kuwa magumu.
hayo yamesemwa na Nicolasi Mgaya kuwa chama cha wafanyakazi nchini Tanzania kimefaziliwa na nchi wa isani hili kutatua matatizo ayo ambapo nchi za Afrika zilizo ingia katika mchakato huu ni Ghana ,Kenya,na Tanzania,katika suala zima la mishaara kama ukutendewa haki katika kulipwa mshaara basi unaweza kuingia kwenye internet na utazikuta fomu kisha zijaze na kueleza matatizo yako na wao watakufuatilia
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment