Rais wa msumbiji Armando Guebuza. |
msumbiji ilikuwa ni nchi ya tano duniani ambayo ina mabomu mengi zaidi yaliyo tegwa ardhini,ambayo hivi sasa inakaribia kuwa haina tena mabomu hayo.hadi mwishoni mwa mwaka huu serikali ya msumbiji inataka kuya ondoa mabomu 303 yaliyo baki katika maeneo ya nchi hiyo.eneo ambalo ni kubwa kama mji mkuu maputo bado kazi ya kuyaondoa mabomu hayo inaendelea
uondoaji wa mabomu ya ardhini nchini msumbiji. |
kuanzia mwaka 2007 kiasi cha mabomu 100,000 yameondolewa baadhi ya majimbo kadhaa ya nchi hiyo,naibu waziri wa mambo ya kigeni nchini msumbiji henrique Banze anaamini kuwa kazi ya kuyaondoa mabomu ayo inawezekana kumalika hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu
akuna mtu aliye fikilia kuwa inawezekana kuyaondoa mabomu ya lio zikwa ardhini kufikia mwishoni mwa mwaka 2014.lakini kufuatia ushirikiano wa mashirika yasio ya kiserikali,wafadhili wa kimataifa na serikali ya msumbiji suala lilifanyikishwa na kwa sasa kila mtu anaweza kutembea bila wasiwasi wa kulipuka kwa mabomu yalio tegwa ardhini nchini humo.
Rais wa msumbiji Armando Guebuza ametoa shukrani kwa wafadhili wa kimataifa katika hotuba yake ya ufunguzi wa mkutano huo mjini maputo hapo jana
"tunataka kutumia fursa hii,kuiomba juiya ya kimataifa kuchukua hatua madhubuti,hili kuiondolea msumbiji mabomu yote yaliyo tegwa ardhini,utekelezaji wa mkutano wa Ottawa umeleta matokeo mazuri
0 maoni:
Post a Comment