Rais Jakaya Kikwete amesema lengo la kuimarisha tume ya maadili na uongozi hapa nchini ni kuhakikisha viongozi wanapatikana kwa kuzingatia misingi ya demokrasia iliyo huru na haki si kutumia fedha kununua uongozi
Rais Kikwete ameyasema hayo muda mfupi baada ya kupatia tuzo ya mchango wake wa maendeleo katika taasisi nne simamizi kwa kuimarisha uwazi,uwadilifu na uwajibikaji katika utawala bora halfa ambayo imefanyika jijini Dar es salaam
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment