Akiwa amefungiwa mechi 9 za kimataifa na miezi nne kwa ujumla na kujiusisha na soka,Suarez amerejea Uruguay akiiacha timu yake imetinga hatua ya 16 bora ya kombe la Dunia
Mashabiki walijimwaga mitaani hadi uwanja wa ndege kwenda kumpokea mshambuliaji huyo wa Livepool nchini Uruguay,uku wengine wakivaa picha yake kumtukuza nyota huyo.
Rais wa Uruguay, Jose majica alikuwa unja wa ndege pia kumpokea lakini akuamua kuondoka katakata na ndege iliyo kuwa ikimlejesha Suarez kuchelewa

0 maoni:
Post a Comment