NGUZA VIKING BABU SEYA NA PAPII KOCHA WAPIGA SHOW SIKU YA MAGEREZA

Mwanamuziki wa bendi ya wafungwa nguza viking "Babu seya" (kulia) na Mwanaye Johnson nguza "Papii kocha" (wapili kulia) wanaotumikia kifungo cha maisha gerezani,wakitumbuiza show na wenzao katika maadhimisho ya siku ya magereza ambayo yamefanyika katika chuo cha magereza Ukonga Jijini Dar es salaam.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 maoni:

Post a Comment