Wapiganaji wa jihadi wameendelea kuyateka maeneo zaidi nchini Iraq, baada ya kuteka eneo moja la kivuko karibu na mpaka wa syria na sasa wameelekea mjini Baghadad kupitia bonde la Eupharates.
Mwandishi wa J.M.Z .I nchini Iraq amesema hatua hiyo inafungua njia kwa wapiganaji wengine wa ISIS nchini syria.
wapiganaji hao vilevile wameiteka miji zaidi katika mkoa wa Anbar ambapo mwandishi huyo anasema kuwa lengo lao ni kuvamia mji wa Baghdad.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment