RAIS mpya wa malawi bwana PETER MUTHALIKA ameapishwa leo kufuatia matokeo yalio kuwa yakicheleweshwa wiki nzima
bwana peter muthalika amepata asilimia 36 ya kula zilizo pigwa uku rais wa zamani bi joecy banda akishika nafasi ya tatu katika kampeni za kuwania urais.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 maoni:
Post a Comment