Mpaka sasa kuna habari nne kubwa za ndege ambazo zimetokea ndani ya kipindi cha siku 9 zilizo pita, kunaajali ya ndege 3 ambazo ni ile ya Malaysia,Mali,na Taiwan ambapo kwenye kisa kilichofata ni cha ndege moja kulazimika kurudi ilikorukia baada ya kijana raia wa Canada kusema anampango wa kulipua nchi yake kwa sababu anaichukia
Sasa tukio jingine la saa kadhaa zilizopita ni kuhusu ndege ndogo ya abilia ambayo imelazimika kutua kwa dharura ufukweni huko venice Florida Marekani baada ya kupata tatizo ikiwa angani na Rubani kuona akukua na uwezekano wa kufika uwanja wa ndege alikofanya mawasiliano
kutua huko kwa dharura kumesababisha kifo cha mwanaume mmoja alikuwa akitembea ufukweni huko mtoto wake wa kike akijeruhiwa vibaya kwenye hii ajali.
- Blogger Comment
- Facebook Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)


0 maoni:
Post a Comment